Makie Radio ni kituo huru cha utangazaji kinachokuletea mchanganyiko wa muziki bora wa nyumbani na kimataifa, mahojiano na vipindi vya kijamii. Tunakuhakikishia matangazo yenye sauti ya ubora wa juu na maudhui yanayokuelimisha na kukuburudisha.
Matangazo: Masaa 24 Kila Siku
Muziki: Bongo Fleva, Hip Hop, Amapiano & Global Hits